Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 18, 2013

CHAMA CHA RIADHA (RT) CHATOA MPANGO MKAKATI WAKE WA MIAKA MITANO


Rais wa chama cha Riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka ambaye ni mkuu wa wilaya ya Mvomero akikabidhiwa mpango mkakati wa riadha kuelekea kwenye olympiki ijayo ya mwaka 2016 na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Utawala, William Kallaghe ambayo itafanyika Rio De Janeiro nchini Brazil katika hafla iliyofanyika mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati ya utendaji kituo cha michezo cha Highlands Kigurunyembe mkoani Morogoro. kulia ni Katibu wa Riadha Tanzania. Mujaya Nyambui na kushoto ni Mhazini wa chama hicho, Suleiman Ishigue.
MORPGORO, Tanzania

SHIRIKISHO la Riadha Tanzania limezindua MPANGO mkakati wake wa miaka mitano kuelezea mashindano ya olimpiki yatakayofanyika Brazil Rio de jenerio 2016 .
MPANGO huo ulikabidhiwa kwa Rais wa RT, Anthony Mtaka, mara baada kumalizika kwa Kikao cha Kamati ya utendaji ya RT, katika kituo cha Michezo cha the highlands mjini Morogoro juzi.

Akizungumzia mkakati huo, Rais wa RT Mtaka akisema mpango huo unalenga la kuiwezesha Tanzania kushiriki kikamilifu na kwa mafanikio makubwa ukilinganishwa na miaka mingine.
Mpango huu umenena katika kuwezesha Tanzania kushirki kikamilifu katika mashindano mbalimbali ikiwemo all Africa game hadi Olympic ya Rio de janeiro.
Kupitia Mango huo, program mbalimbali za kuandaa wachezaji wenye umri tofauti kushiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa kuelezea kimataifa.
Mbali na Mpango Mkakati huo bali na mpango mkakati huo, pia kikao hicho kilipitia rasimu ya katiba mpya ya chama jicho.
Pia Kikao hicho kiliitisha kufanyia kwa mashindano ya MNYIKA ya Taifa, Yatakayofnyika machi 10 mjini Morogoro.
Mashindano hayo yatatumika pia kuchangia timu ya Taifa itakayoshiriki mashindano ya dunia machi 24 huko Poland.
Kingine kilichopitishwa ni kalenda ya Mwaka ya RT ambayo inatarajiwa kutumwa mikoani kwa ajili ya utekelezaji.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...