Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 25, 2013

TCRA KANDA YA MASHARIKI WASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ( Kanda ya Mashariki Eng. Oscar Mwanjesa akikata keki  ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake mbele ya wafanyakazi wenzake  wa Mamlaka hiyo wakati wa hafla ya family day iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni Dar es Salaam. Watatu kutoka kulia ni Kaim Meneja Mawasliano wa TCRA Semu Mwakyajala.
 Wafanyakazi  wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa kusherehekea siku ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi eneo la hoteli ya Southen Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi  wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  wakiwa katika picha ya pamoja  na familia zoa wakati wa kusherehekea siku ya Family Day iliyofanyika katika Ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la hoteli ya Southen Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam
  Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliaono *TCRA* Kanda ya Mashariki   wakiwa na kuku kabla ya kushindaniwa.
 Ofisa Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, Doris  Saivoyre akianzisha shindano la kukimbiza kuku kwa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo Kanda ya Mashariki  wakati wa kusherehekea siku  familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni Dar es Salaam.
  Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA  kanda ya Mashariki wakishindano kufukuza kuku wakati wa katika ufukwe wa haoteli ya Southan Beach Kigamboni  ikiwa ni sehemu moja wapo ya kusherehekea siku ya Familia iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Kanda ya Mashariki wakishindano kuvuta Kamba ikiwa ni sehemuya shamlashamla za kusherehekea siku ya Familia  iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni  jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Kanda ya Mashariki wakishindana kukumbia na Magunia  ikiwa ni sehemuya shamlashamla za kusherehekea siku ya Familia  iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni  jijini Dar es Salaam
 Kaimu Meneja wa Mawasliano  wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Semu Mwakyanjala na Afisa Mawasiliano wa Mamlaka hiyo Doris Saivoye wakicheza muziki ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku ya Familia iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni  jijini Dar es Salaam.
 baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.Kanda ya Mashariki wakiwa na Familia zao wakicheza muziki aina ya kwaito ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA ,Kanda ya Mashariki  Benjamin Mwandete akiwa na zawadi zake  za magunia na Kamba alizoshinda katika sherehe ya  siku ya  Familia iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Southan Beach Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...