Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 18, 2013

SHEIKH PONDA AFIKISHWA MAHAKAMANI CHINI YA ULINZI MKALI LEO


 Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda (katikati) akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkali ya uchochezi na wizi wa malighafi zenye thamani ya Sh.milioni 59 inayomkabili Katibu huyo na wenzake 49 ilipoanza kusikilizwa leo. (Picha zote na Dende JR)
Ulinzi iliimarishwa katika kila kona ya Mahakama ya Kisutu leo
Askari wakiwa katika barabara ya Bibi Titi leo.
Mfuasi wa Sheikh Ponda Issa Ponda akijitetea mbele ya Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) baada ya kutolewa amri ya kuondoka  katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkabili Sheikh huyo ilipoanza kusikilizwa leo.
Kuimarisha ulinzi Mahakamani
Tunataka haki yetu, huyu mama alikuwa akiwaambia askari.
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda akirudishwa rumande leo.
Mfuasi wa Ponda akidhibitiwa na askari
Wafuasi wa Ponda chini
Ulinzi Mkali
 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa wameimarisha ulinzi katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkabili Shikh Ponda Issa Ponda ilipofikishwa Mahakamani leo.
Watuhumiwa  54 wanaokabiliwa na shtaka la kuandamana isivyo halali kushinikiza kuachiwa kwa dhamana kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda wakiwasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...