Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 25, 2013

TIMBULO AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA BURUNDI


Kuna tetesi kuwa msanii wa Bongo flava maarufu kwa jina la Timbulo, ambaye amepata umaarufu mkubwa kutokana na umahiri wa kuimba katika nyimbo zake kadhaa kama  Domo Langu, Waleo Wakesho, Samson na Delilah, amekamatwa mjini Bujumbura kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya. Timbulo alikuwa huko katika kufanya mipango ya kufanya maonyesho kadhaa nchini Burundi mwezi April mwaka huu.

1 comment:

  1. acheni habari zisizokuwa na mashiko, hizi mmetuwekea hadi picha iweje mnasema tetesi? kama hamna uhakika acheni kuchafua majina ya watu

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...