Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 15, 2013

BONANZA LA EXTRA BONGO LAZIDI KUBAMBA GARDEN BREEZE MAGOMENI


 Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky, akiimba jukwaani wakati wa Bonanza la kila jumapili linalofanyika Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam.
 Rapa wa Bendi ya Extra Bongo,Frank Kabatano, akishambulia jukwaa wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Bonanza la kila jumapili Magomeni Garden Breeze jijini Dar es Salaam.
 Wanenguaji wa Bendi ya Extra Bongo wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Bonanza la kila jumapili Magomeni Garden Breeze jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...