Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, February 21, 2013

Mwaikibaki awasili nchini kuaga watanzania, Old Bagamoyo Road kuitwa jinalake.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mwai Kibaki wa Kenya muda mfupi baaada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kiserikali (State Visit) ya siku mbili. Ambapo anatarajiwa kuwaaga Watanzania leo baada ya kuwa Rais wa Kenya kwa miaka minane kupitia wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na Serikali ya Tanzania imempa heshima kwa kubadilisha jina la Barabara ya Old Bagamoyo na kuitwa Mwaikibaki kuanzia jana.
Rais Mwai kibaki wa Kenya akikaribishwa  kwa maua na Mwanafunzi Tazmina Rasul(6) muda mfupi baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kiserikali (State Visit) ya siku mbili huku mwenyeji wake Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiangalia. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...