Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, February 21, 2013

MAKOCHA WA MASUMBWI WAHITIMU KOZI YA HAWALIMeja Charles Mbuge wa pili kushoto akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya Hawari ya ukocha wa mchezo wa masumbwi,Charles Muhilu wakati wa kumalizika kwa kozi hiyo Dar es salaam leo kushoto ni mjumbe wa BFT, Koba Kimanga na Rais wa shirikisho hili, Michael Changalawe.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Baadhi ya makocha wa mchezo wa masumbwi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimu mafunzo ya awali yaliyomalizika Dar es salaam (Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Meja Charles Mbuge akihojiwa na wana habari wakati wa kufunga mafunzo hayo leo
Mmoja ya wakufunzi Kulwa Kindondi akiojiwa na wandishi wa habari
kocha Charles Muhilu kushoto akihojiwa kuhusu kozi hiyo
Mmoja ya wakufunzi Kulwa Kindondi kushoto akiwa na Patric Nyembela wa EATV picha na  www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...