Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, February 20, 2013

ZIARA YA WAZIRI WA HABARI,VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO MKOANI ARUSHA


 Waziri wa  Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Mh. Dkt. Fenella Mukangara (mwenye miwani ) jana alipokea taarifa ya kikundi cha Petu Saccos na kuzungumza na  vijana wa kikundi cha Youth Welding Group cha Sanawari  - Arusha (pichani) alipotembelea na kuangalia jinsi fedha za mfuko wa vijana zilizotolewa na wizara yake zilivyowanufaisha  vijana katika kujikomboa kimaisha na kujiajiri wenyewe.
Waziri  wa Habari , Vijana, Utamaduni na Michezo  Mh. Dkt. Fenella Mukangara (aliyevaa miwani ) akizungumza  na wana Saccos wa Petu kupitia kikundi cha Youth Welding group cha Sanawari  mkoani Arusha jana. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...