Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 15, 2013

HAPPYBIRTHDAY YA KALUNDE USIPIME, YAFANA KINOMA
Rais wa Kalunde Band, Deo Mwanambilimbi akikata keki kwa pamoja na Meneja wa benki hiyo, Deborah Nyangi ambaye pia ni Muasisi wa Band hiyo.


Deborah Nyangi akiandaa keki kwa ajili ya kuwalisha baadhi ya wadau. Kushoto ni Rais wa Band hiyo, Deo Mwanambilimbi na Mwapani Yahya

Meneja wa Kalunde Band, Deborah Nyangi akiandaa akimlisha kipande cha keki, Rais wa Band hiyo, Deo Mwanambilimbi wakati wa sherehe za kutimiza miaka saba tangu kuzaliwa kwa band hiyo.


Deo kama anasema; Tumetimiza miaka saba na tunasonga mbele.


Rais wa Kalunde Bande, Deo Mwanambilimbi akimlisha keki, Meneja wa band hiyo, Deborah Nyangi wakati wa sherehe ya kutimiza miaka saba tangu kuanzishwa kwa bendi hiyo.


Kiongozi wa Wanamuziki, Bob Rudala akilishwa keki.Wanamuziki wa Kalunde Band wakiwajibika jukwaani wakati wa Valentine Day.


Othman Amri King Majuto - Bass Guitar na Rajab Nyunyusa - Tumba
Meneja wa Band, Deborah Nyangi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...