Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 15, 2013

MATAMASHA YA GRAND MALT SAUTI ZA BUSARA YAENDELEA ZANZIBAR.


Mmoja wa kinadada wa timu ya wahudumu kwenye matamasha ya kinywaji cha Grandmalt Saut za busara akiwagawia kinywaji hicho watu waliojitokeza kwenye kwenye Matamasha ya Grand Mult Sauti za busara yanayoendelea mjini Zanzibar.
Kikundi cha Burudani cha Grand Malt kikonga nyoyo za wazanzibari wakati wa matamasha ya Grand Mult Sauti za busara yanayoendelea mjini Zanzibar.
Sehemu ya watu waliojitokeza kwenye matamasha hayo yanayoendelea visiwani humo.
Wengi wamepata fursa ya kuonja kinywaji hicho kama inavyoonekana pichani wananchi wa zanzibar wakionja.
Wakazi wa mji wa Zanzibar wakiangalia kikundi cha burudani cha Grand Malt wakati wa matamasha hayo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...