Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 15, 2013

Umoja wa walemavu waandamana kwenda Tume ya Mabadiliko ya katiba kudai waingizwe kwenye mabaraza ya kata
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Walemavu Wajasiriamali Dar es Salaam (UWAMADA) wakiwa katika Ofisi za Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakitaka kumuona Mwenyekiti wa Tume hiyo, Joseph Warioba kwa ajili ya kuomba kuingizwa katika mabaraza ya Kata.

Walemavu wakiingia kwenye Ofisi za  Tume ya Mabadiliko ya Katiba Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...