Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, February 21, 2013

KIWANDA CHA BIA YA NZAGAMBA CHAZINDULIWA.Kikundi cha Burudani cha ngoma za asili kikitumbuiza wakati wa uzinduzi kiwanda kipya cha Bia ya Asili  cha NZAGAMBA kilichopo mkoani Mwanza kikitoa burudani ya kipekee  kwenye  uzinduzi  wa kiwanda kipya cha kutengeneza Bia ya Asli ambapo uzinduzi huo ulifanywa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo.
Meneja masoko wa kampuni ya Bia nchini TBL Fimbo Butallah akishiriki kushika nyoka kwenye burudani ya uzinduzi wa kiwanda kipya cha bia ya Asili cha NZAGAMBA kilichopo mkoani Mwanza ambapo uzinduzi huo ulifanywa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...