Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, February 21, 2013

CASTLE LAGER SUPER FANS WALIPOKUWA KWA MZE MADIBA.Wawakilishi wa Tanzania katika timu ya ushangiliaji ya Afrika Filbert Nestory and Yahya Hamza wakiwa katika moja ya maeneo ya michezo nchini Afrika ya kusini wakati wakishiriki kwenye mjumuiko wa ushangiliaji kwenye mchezo baina ya bukinafaso na Nigeria
Filbert Nestory hapa akionyesha umahiri wake kwenye ushangiliaji kwenye mjumuiko wa ushangiliaji kwenye mchezo baina ya bukinafaso na Nigeria.
Wawakilishi wa kutoka nchi mbalimbali katika timu ya ushangiliaji ya Afrika wakiwa katika moja ya maeneo ya michezo nchini Afrika ya kusini wakati wakishiriki kwenye mjumuiko wa ushangiliaji kwenye mchezo baina ya bukinafaso na Nigeria.
Hivi ndivyo ilivyokuwa huko kwa Mze Madiba.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...