Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 26, 2013

RADIO IMANI NA KWANEEMA ZAFUNGIWA, CLOUDS YAPEWA ONYO!


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
HABARI zilizotufikia hivi punde kutoka katika chanzo cha uhakika kabisa ni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo viwili vya Radio ikiwemo Radio Iman ya mjini Morogoro na Radio kwa Neema kwa muda usiopungua miezi sita huku Radio Clouds FM ya jijini Dar Es Salaam ikipewa onyo na kutakiwa kulipa faini katika kipindi cha mwezi mmoja.
Sababu za kufungiwa:
- Kwa Neema FM Mwanza: Sababu ni kushabikia maswala ya uchinjaji Mwanza
- Radio Iman FM Morogoro: Kushabikia watu kutoshiriki Sensa 2012
- Clouds FM: Kushabikia ushoga & kuendesha kipindi kisichofuata maadili (Jicho la Ng’ombe)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...