Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 15, 2013

WAFUASI WA SHEIKH PONDA WADHIBITIWA NA JESHI LA POLISI DAR


Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakirushwa kichura leo Katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam walipokamatwa kwa tuhuma za kuandamana kushinikiza Sheikh Ponda aachiwe kwa dhamana.

Askari Kanzu akiwa amemkamata muumini wa Dini ya Kiislamu katika pilikapilika za kudhibiti maandamano ya kushinikiza Mahakama imuachie kwa dhamana Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda, Dar es Salaam


Baadhi ya watuhumiwa wa maandamano hayo wakipandishwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa.

Mmoja wa maaskari wakifunga kamba iliwaandamanaji wasiingie Makao Makuu ya jeshi hilo,

Askari wa kudhibiti ujambazi wakiwa kwenye doria kusaidia kudhibiti maandamano.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...