Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 26, 2013

KONYAGI, NMB WAPETA KATIKA TUZO!!


 

 Mkurugenzi wa Kasmpuni ya Konyagi akiwa\ na baadhi ya stafu wa kampuni hiyo na muhusika wa tuzo hizo
 Mkurugenzi Mkuu wa TDL (KONYAGI) MR.David Mgwassa
 Mkurugenzi Mkuu wa TDL (KONYAGI) Bw.Da\vidi Mgwassa akizungumza na baadhi ya waaliokwa wa katika Hafla hiyo ya utoaji vyeti vya ubora wa bidhaa


Mkuu wa masoko na mawasiliano wa NMB,Imani Kajula akipokea tuzo ya super  brand kutoka kwa
mkurugenzi wa super brand East Africa Jawad Jaffer..


Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa NMB wakiwa na tuzo ya super brand 2013-2014.
Baada ya miaka saba ya uwekezaji endelevu katika kuboresha huduma, masoko na mtandao wa matawi. NMB sasa inazaidi ya matawi 148, ATM zaidi ya 500, wateja wanaotumia NMB mobile kupata huduma zaidi ya 800,000 na huduma mbadala kama intenet banking, kituo cha huduma kwa wateja na POS. Wateja wa NMB sasa wanapata huduma popote walipo bila kuhitajika kwenda kwenye tawi la NMB. Maboresho hayo yameiwezesha NMB kutunukiwa kuwa Super Brand mwaka 2013-2014. NMB imekua namba moja katika sekta ya benki

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...