Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 3, 2011

ANTONIO Tarver anataka kupambana na bingwa wa Uzito wa juu kwa mkanda wa WBA, David Haye.


Mpiganaji wa London, Haye anatajia kutwangana na
Ruslan Chagaev Mei au Juni baada ya kuchwa solemba na bingwa wa mataji ya WBO na IBF, Wladimir Klitschko.

Lakini mpiganaji mkongwe wa Marekani
Tarver, ambaye anapiga katika uzani wa
light-heavy, Hayemaker atatakiw kwenda Marekani ili kutwangana naye kama maafikiano yatafikiwa.

Bondi huyo mwenye umri wa miaka 42, anayejulikana kama Magic Man, alisema: "David Haye, ni wa Antonio Tarver.

"Nimesikia kuwa umekuwa huna mtu wa kupigana naye na Klitschko.

"Unawezaje wewe na mimi kupanga tarahe katika Apeili, unaweza kupata pambano lako la kwanza la uzito wa juu Marekani.

"Ni pambano kubwa kwako kupigana na mtu mwenye jina ambalo la mwisho haliishii na Klitschko."

Tarver aliongeza kusema kwenye
Twitter yake: "Hakuna mtu ambaye anaweza kunai nafasi ya kumtwanga Haye.

"Lakini ni majina mawili makubwa na ninafikiri inaleta maana kuwepo pambano kubwa la uzito wa juu kufanyika Marekani."

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...