Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 5, 2011

KCB BENKI YAKABIDHI MSAADA WA VYAKULA KWA WAATHIRIKA MILIPUKO YA MABOMU YA GONGO LA MBOTO


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB Tanzania Bw. Joram Kiarie (kulia) akikabidhi msaada wa Vyakula kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Said Mecky Sadiki kwa ajili ya Waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusiano wa benki hiyo Christina Manyenye

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...