Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 21, 2011

TTCL YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MABOMU GONGOLAMBOTO


AFISA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA 'TTCL' BW. SAID AMIR SAID AKIKABIDHI SEHEMU YA MSAADA ULIOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO KWA MKUU WA WILAYA YA ILALA MH. LEONIDAS GAMA. AFISA MTENDAJI MKUU WA TTCL BW. SAID AMIR SAID AKIZA BAADA YA KUTOA MISADA
AFISA MTENDAJI MKUU WA TTCL BW. SAID AMIR SAID NA MKUU WA WILAYA YA ILALA LEONIDAS GAMAMKUU WA WILAYA YA ILALA LEONIDAS GAMA AKISHUKURU KWA NIABA YA WANANCHI.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...