Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 12, 2011

Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa wapiga kura kuchagua wajumbe wa Kamati kuu ya CCM mjini Dodoma


Baadhi ya wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM wakipiga kura kuchagua wajumbe wa Kamati kuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,aliyekuwa katibu mkuu wa CCM Yusuf Rajab Makamba na Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakipiga kura kuchagua wajumbe wapya wa Kamati kuu ya CCM wakati wa mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM uliofanyika mjini Dodoma leo jioni.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wakipiga kura kuchagua wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma leo.

Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mwanachma wa Siku nyingi wa chama hicho Mzee Kingunge Ngombare Mwiru akipiga kura yake kwa furaha leo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...