Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 4, 2011

TCRA YAENDELEA KUWAELIMISHA WANANCHI


Afisa Mkuu wa Idara ya watoa huduma na Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Thadayo Ringo wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Jumanne Ikuja akiwasilisha mada katika semina kuhusu haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika jana Ikwiriri Wilayani Rufiji, mkoani Pwani.Semina hiyo ilihusisha makundi mbalimbali katika jamii.


Baadhi ya washiriki katika semina ya wadau wa mawasiliano juu ya Haki na Wajibu wao katika utumiaji wa mawasililiano iliyofanyika leo mjini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.


Richard Kayombo, wa Idara ya Utangazji TCRA akiwasilisha mada.


Mjada kabla ya kuanza mkutano kati ya Richad Kayombo, Innocent Mungy na Thadayo Ringo
http://mrokim.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...