Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 3, 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA KITUO CHA MAFUNZO YA WAKULIMA DAKAWA MOROGORO


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikagua tango lililolimwa kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo muda mfupi baada ya kufungua kituo cha utafiti na mafunzo ya wakulima, Dakawa Morogoro leo asubuhi.Kituo hicho kinachojulikana kama 'The Demonstration Centre of China agricultural Technology' kimejengwa kwa msaada wa serikali ya watu wa China.Kulia pembeni ya Rais ni Profesa wa utafiti Chen Hualin. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua power tillers na zana nyingine za mafunzo muda mfupi baada ya kufungua kituo cha utafiti na mafunzo ya wakulima huko Dakawa Morogoro leo asubuhi.Kituo hicho kimejengwa kwa msaaada wa Serikali ya watu wa China. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...