Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, April 22, 2011

NBC YATOA MILIONI TANO KWA MCT


Mkuu wa Masoko, Mawasiliano wa Benki ya NBC, Bi. Mwinda
Kiula-Mfugale (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 5 kwa
Meneja wa Programs wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Pili Mtambalike
ikiwa ni kama zawadi kwa mshindi wa kitengo cha Mwandishi Bora wa
Habari za Biashara na Uchumi katika Tuzo za Waandishi Bora
zinazoandaliwa na MCT. Hafla ya utoaji tuzo hizo zitafanyika jijini
Dar es Salaam Mei 3 mwaka huu. Makabidhiano yalifanyika jijini Dar es
Salaam jana. Katikati ni Ofisa Mwandamizi wa Program wa MCT Alfred
Mbogora na Mshauri wa Mawasiliano wa NBC, Robi Matiko-Simba.
Meneja wa Programs wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Pili
Mtambalike (kushoto) akizungumza baada ya kupokea mfano wa hundi ya
shs milioni 5 ikiwa ni kama zawadi kwa mshindi wa kitengo cha
Mwandishi Bora wa Habari za Biashara na Uchumi katika Tuzo za
Waandishi Bora zinazoandaliwa na MCT na Mkuu wa Masoko, Mawasiliano
wa Benki ya NBC, Bi. Mwinda Kiula-Mfugale (kulia). Hafla ya utoaji
tuzo hizo zitafanyika jijini Dar es Salaam Mei 3 mwaka huu.
Makabidhiano yalifanyika jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...