
Mwamuzi John Chagu akiwamulu mabondia Japhet Kaseba na Mada Maugo kupigana

mmoja wa mashabiki wa kaseba aliyekuwa akitaka kuleta fujo akitulizwa na maofisa usalama

Kaseba akiwa amevua glove

John Chagu akitangaza mshindi baada ya kaseba kuingia uringoni raundi ya saba akiwa amevua glove hivyo kumtangaza maugo kuwa bingwa wa pambano hilo
No comments:
Post a Comment