Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 18, 2011

VODACOM YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SIKU YA UWEZO


Meneja Udhamini na Promosheni wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa akifafanua jambo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Chang’ombe (DUCE), jinsi mwanafunzi mwenzao Gaspary Kasmiry, aliyeshikilia hundi, alivyoshiriki na kushinda kitita cha Sh milioni 10 katika promosheni ya siku ya uwezo iliyoendeshwa na kampuni hiyo. Mshindi wa promosheni ya siku ya uwezo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Yuda Joseph, ambaye ni muuzaduka eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam, akiwa ameshikilia hundi ya shilingi milioni kumi aliyokabidhiwa na Vodacom Tanzania baada ya kushiriki na kushinda kupitia promosheni hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...