Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 14, 2011

SUMALEE Vs CPWA BIFU LAJIRUDIA TENA


Siku za karibuni tulimskia cp wakati wa uzinduzi wa album yake akitangaza kuwa yeye na Suma lee wamerudi pamoja na kurudisha kundi kama Parklane lakini baada ya kupiga show ya uzinduzi na Cp kwenye uzinduzi wake, leo Sumalee ametoa mpya baada ya kudai kuwa Cp hajamlipa pesa zake zote badala yake alimpatia nusu na kudai kuwa show haijafanya poa yaani haikumlipa, "kwanza alidanganya kuwa parcklane itarudi lakini sio kweli, parklane irudi kwenye uzinduzi wake tu?.
"Mwambieni kuwa hizo pesa alizonidhulumu kama ye anaona ni kidogo mi zinanitosha kwa kilo mbili za gomba" alimesema Sumalee

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...