Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, April 15, 2011

VIFO VYA KINA MAMA WAJAWAZITO SIO VIFO VITOKANAVYO NA UJAUZITO


Katibu Mkuu wa African Union People's Empowerment Fondition, Bw.Mgesi Juma (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana, kuusu vifo vya akina mama wajawazito kuwa vinaweza fasiliwa kuwa ni vifo vitokanavyo na ujauzito. kulia ni Ofisa Habari wa Tume ya Kikristu ya Huduma za Jamii Bw.Renatusi Sona

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...