Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 14, 2011

DECODA ZA STAR TIMES KUPATIKANA TANZANIA NZIMA KUANZIA MWEZI UJAO


Mkurugenzi mkuu wa Maxcom Africa bwana Juma Rajabu na William Lan kaimu mkurugenzi mtendaji wa Star timeswakibadilishana mkataba walio saini kwa ajili ya maxcom africa kuwa muzaji wa ving"amuzi pamoja na vocha za startimes hapa nnchini hafla hiyo ilfanyika makao mkuu ya startimes tbc mikocheni
Bwana JUMA RAJABU wakiwa katika picha ya pamoja na WILLIAM LAN baada yakumaliza hafla ya kutiliana saini mkataba ambao utawawezesha watumiaji wa vingamuzi popote nchini kupata huduma hiyo bila kuja dar es salaam

2 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...