Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 4, 2011

BREAKING NEWS KATIBU MKUU 'TRAWU'Silvester Rwegasira AFARIKI DUNIA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira amefariki dunia kwa tatizo la moyo. Akizungumzia na www.burudan.blogspot.com juu ya msiba huo mmoja ya mfanyakazi wa TRAWU ambaye si msemaji, alisema kuwa kifo cha katibu huyo kimetokea LEO saa mbili na nusu asubuhi katika Hospitali ya Dar group na mwili wake umehamishiwa katika Hospitali ya Amana Dar es Salaam. Alisema marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda wa wiki tatu ndipo alipokutwa na mauti hospitalini hapo. Hata hivyo kabla ya kufikwa na mauti Bw. Rwegasira alitakiwa kufanya mkutano ofisini kwake siku ya Ijumaa iliyopita kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kusitishwa kwa mkataba wa TRL. Mkutano wa Ijumaa uliahirishwa na kupangwa kufanyika jana ambapo alitakiwa kuzungumzia makubaliano yaliyofikiwa katika kikao cha kamati kuhusu suala hilo la kusitisha mkataba ili lifikishwe bungeni. KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira amefariki dunia kwa matatizo ya moyo. Akizungumzia msiba huo mfanyakazi wa TRAWU ambaye si msemaji, alisema kuwa kifo cha katibu huyo kilitokea jana saa mbili na nusu asubuhi katika Hospitali ya Dar group na mwili wake umehamishiwa katika Hospitali ya Amana Dar es Salaam. Alisema marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda wa wiki tatu ndipo alipokutwa na mauti hospitalini hapo. Hata hivyo kabla ya kufikwa na mauti Bw. Rwegasira alitakiwa kufanya mkutano ofisini kwake siku ya Ijumaa iliyopita kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kusitishwa kwa mkataba wa TRL. Mkutano wa Ijumaa uliahirishwa na kupangwa kufanyika jana ambapo alitakiwa kuzungumzia makubaliano yaliyofikiwa katika kikao cha kamati kuhusu suala hilo la kusitisha mkataba ili lifikishwe bungeni. KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira amefariki dunia kwa matatizo ya moyo. Akizungumzia msiba huo mfanyakazi wa TRAWU ambaye si msemaji, alisema kuwa kifo cha katibu huyo kilitokea jana saa mbili na nusu asubuhi katika Hospitali ya Dar group na mwili wake umehamishiwa katika Hospitali ya Amana Dar es Salaam. Alisema marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda wa wiki tatu ndipo alipokutwa na mauti hospitalini hapo. Hata hivyo kabla ya kufikwa na mauti Bw. Rwegasira alitakiwa kufanya mkutano ofisini kwake siku ya Ijumaa iliyopita kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kusitishwa kwa mkataba wa TRL. Mkutano wa Ijumaa uliahirishwa na kupangwa kufanyika jana ambapo alitakiwa kuzungumzia makubaliano yaliyofikiwa katika kikao cha kamati kuhusu suala hilo la kusitisha mkataba ili lifikishwe bungeni. KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira amefariki dunia kwa matatizo ya moyo. Akizungumzia msiba huo mfanyakazi wa TRAWU ambaye si msemaji, alisema kuwa kifo cha katibu huyo kilitokea jana saa mbili na nusu asubuhi katika Hospitali ya Dar group na mwili wake umehamishiwa katika Hospitali ya Amana Dar es Salaam. Alisema marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda wa wiki tatu ndipo alipokutwa na mauti hospitalini hapo. Hata hivyo kabla ya kufikwa na mauti Bw. Rwegasira alitakiwa kufanya mkutano ofisini kwake siku ya Ijumaa iliyopita kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kusitishwa kwa mkataba wa TRL.blog ya www.burudan.blogspot.com tunawapa pole wafiwa wote tuwe na moyo wa subra bwana ametwaha jina la bwana lihimidiwe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...