Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 6, 2011

KATIBU MKUU WA 'TRAWU' AAGWA NA KUZIKWA LEO


Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bakari Kiswara (kulia) na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi 'TUCTA' Bw.Nicholaus Mgaya wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu aliyekua Katibu Mkuu wa (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira kabla ya kumuaga TAZARA Dar es salaam
Waziri wa Kazi na Ajira Bi Gudensia Kabaka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu leo


Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bakari Kiswara akitoa heshima za mwisho

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...