Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 14, 2011

CLOUD AIBUKA NA FILAMU YA BASILISA

Msanii wa Bongo Move Issa Mussa 'Cloud' ametamba kutikisa anga la filamu mchini baada ya kuwa mbioni kukamilisha kazi yake ya filamu ya Basilisa itakatotoka mwanzoni mwa mwezi ujao ambapo amewashilikisha wasanii mbalimbali akiwemo kama Wema Sepetu, Selemani Barafu, Adamu Kuambiana ambapo anamini filamu hiyo itakuja kutikisa Anga baada ya kucheza maeneo tofauti tofauti ikiwemo kuwa chizi,pamoja na kuwa mtanashati katika filamu hiyo hiyo filamu hiyo itakayosambazwa na Kampuni ya Steps Entatainment itakuwa ni muendelezo wa filamu zake zilizowai kutamba ikiwemo Sabrina, Ukiwa ,Pigo na Suria na sasa Basilisa ambapo amewaasa na kuikumbusha jamii kuto dharau binadamu wa aina yoyoto wakiwemo machizi wengine ni viumbe vinavyoendana sambamba na majini watu hivyo kuto wadharau ata kidogo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...