
Bondia Japhet Kaseba akipima uzito Dar es salaam jana kabla ya pambano lake na Mada Maugo litakalofanyika katika ukumbi wa P.T.A kesho

Waratibu wa mpambano wa mada maugo na japhet kaseba wakiwa wamemuinua mikono juu kaseba

Bondia Mada Maugo akipima uzito Dar es salaam jana kabla ya pambano lake na Japhet Kaseba litakalofanyika katika ukumbi wa P.T.A kesho


Baadhi ya Wadau wa mchezo wa ngumi walikuwepo kushudia upimaji wa uzito leo
No comments:
Post a Comment