Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 24, 2011

Extra Bongo Katika Burudani Ya Mkesha Wa Pasaka Jana Star Coco Beach Club

|

Waimbaji wa Extra bongo wakiwajibika jukwaani kutoka kushoto ni Rogart Hegga 'Katapira' Ally Choki, Atanas Montanabe, Ramadhani suzuki
Wanenguaji wakirishambulia jukwaa wakati wa onesho lao

Mambo yalikuwa Bam Bam.... Ni burudani mpaka kumekucha. Watoto wa mjini Extra Bongo Wana Next Level walipagawisha mashabiki kisawasawa.( Picha zote:Mjengwablog)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...