Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 24, 2011

MISS DAR CITY CENTER WAJIMWAGAMratibu wa shindano hilo Fatma Abdalah ‘Fetty’(mbele), akiwa kwenye pozi la pamoja na washiriki hao.
SHINDANO la kumasaka mrembo wa kitongoji cha Miss Dar City Centre 2011, linazidi kupamba moto kutokana na purukushani za mazoezi yanayoendelea katika kambi yao iliyopo Lamada Hotel Ilala jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na mtandao huu jana, mratibu wa shindano hilo, Fatma Abdalah ‘Fetty’, alisema kwamba kila kukicha anazidi kuridhizishwa na uwezo wa mazoezi ya warembo wake, na kwamba matumaini ya kutoa Miss Tanzania kwa kitongoji chake ni makubwa.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...