Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, April 22, 2011

HABARI NJEMA KWA WANYWAJI; KONYAGI wazindua mvinyo mpya! unaitwa AKANANA una ladha ya ndizi!!


Moja ya Bango la AKANANA...... spirit yenye ladha ya ndizi, ktk uzinduzi uliofana sana jijini Mwanza


Meneja Masoko wa TDL Joseph Chibehe (kulia) akizungumza jambo na Mwakilishi wa Mauzo Kanda ya Ziwa Bw. Life Stephen Mushi wakati wa Uzinduzi huo ulio fanyika mwanzoni mwa wiki Jijini Mwanza.

"Wewe unaye tutazama tukupe chupa hii aaa noma kanunue yako inauzwa Buku mbili tu"

Mwakilishi wa wasambazaji wa vinywaji vya Kampuni ya KONYAGI akipanga moja ya chupa za Akanana.

Mrema (kushoto) akiwa na Baadhi ya wafanyakazi wenzake ktk uzinduzi huo.HAWA NDIO BAADHI YA WAZEE WA KONYAGI WALIO KUWAPO JIJINI MWANZA

Bi.Sara wa Konyagi Alishindwa kuvumilia midundo ya Saida Kaloli na kuvalia kibwaya kisha Kujimwaga katika Wimbo wa "Akanana Kaile Koe"

SAIDA AKIONJA KINYWAJI KIPYA CHA AKANANA

Msanii Maalufu nchini Saida Kaloli (kushoto) akiimba pamoja na wasanii wa kundi lake wakati wa uzinduzi huo

Mama mdogo aki chukua chupa ya Akanana

Wadau wa jiji la mwanza wakipata Akanana spirit yenye ladha ya Banana.

Mambo kwa kweli yalifana Pamoja na Mvua iliyokua ikinyesha wadau walipombeka vya kutosha http://prhabari.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...