Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 7, 2011

Matembezi ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar


Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya taifa CCM,Dk Ali Mohamed Shein huku wakionesha bango lenye Picha na ujumbe wa kumuombea dua Rais wa kwanza wa Zanzibar,wakati wa mapokezi ya matembezi ya kumuenzi rais huyo yaliyopokele wa na Rais wa Zanzibar katika viwanja vya CCM Afisi kuu Kisiwandui leo.
Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya taifa CCM,Dk Ali Mohamed Shein,akipokea matembezi ya kumbu kumbu ya miaka 39 ya kumuenzi muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar,hayati Abeid Amani Karume,katika viwanja vya CCM Afisi kuu Kisiwandui leo.Picha kwa hisani ya Ramadhan Othman Abdalla.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...