Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 24, 2011

TMH PRESENT 2011 STYLE MOTOMOTO FASHION SHOW @ DOUBLE TREE BY HILTON HOTEL…!!!

Model wakipita jukwaani na mavazi ya ubunifu yaliyobuniwa na Kemi Kalikawe katika ufunguzi wa Onesho la STYLE MOTOMOTO katika Hotel ya Double Tree Jijini Dar es Salaam.

Mbunifu wa Mavazi Kemi Kalikawe na mmoja wa Models aliyevaa ubunifu wake.

Models na mavazi ya ubunifu kutoka kwa Irene Kiwia a.k.a RENEEPHOEBE.

Irene Kiwia (kushoto) akiwa na mmoja wa Models aliyevaa ubunifu wake. Keep it Up Irene MO BLOG.

Irene Kiwia on the Stage.

Models na mavazi ya ubunifu kutoka kwa Farha Sultan.

MC Taji Liundi Cat walking.

FARHA SULTAN WITH SUNFLOWER COLLECTION

Mwandaaji wa Onesho la Style Motomoto Khadija Mwanamboka akimpa zawadi ya pongezi Mbunifu wa mavazi Farha Sultan ambaye mavazi yake yalitawala Onesho hilo katika Hotel ya Double Tree jijini Dar.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Masoko na Mahusiano Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba (wa pili kulia) akifurahia Onesho la Style Motomoto na marafiki zake.

Wadau wa mavazi wakifuatilia Onesho hilo.
picha na http://mohammeddewji.com/blog/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...