Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 12, 2011

WASHINDI WA PROMOSHENI YA BARCLAYS WAPATA ZAWADI ZAO


Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Hemed Juma Mrisho akitoa tiketi
ili kumpata mshindi wa droo ya saba ya promosheni ya akaunti za
Barclays Premier League.Mkazi wa Mwanza Abdallah Shengelo alishinda
tiketi ya kwenda Uingereza yeye na mshilika wake kushuhudia moja ya
mchezo ya huko inayoendelea. Kushoto ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi
wa Mashariki na Afrika Magharibi Zahid Mustafa. Mkaguzi wa Michezo wa
bodi ya kubahatisha Bakari Maggid na Meneja masoko wa Barclays Rahma
Gemina.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Barclays wa Mashariki na Afrika
Magharibi Zahid Mustafa (kushoto) akikabidhi mfano wa tiketi yakwenda
na kurudi Uingereza kwa Hemed Juma Mrisho mmoja wa Washindi wa
promosheni inayoendelea ya akaunti za Barclays Premier League.
Katikati ni Meneja masoko wa Barclays Rahma Gemina na mke wa mshindi
huyo Halima Mbwana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...