Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 5, 2011

KATIBU MKUU WA 'TRAWU' KUZIKWA KESHO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

Mwenyekiti wa TRAWU Bakari Kiswara akitoa maelekezo kwa baadhi ya waombolezaji wa msiba Mke wa Marehemu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira, Bi,Kotrida Linus (kushoto) akiwa na baadhi ya waombolezaji nyumbani kwake TAZARA Magorofani Dar es salaam leo mazishi yatafanyika kesho katika makaburi ya Kinondoni www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...