Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 10, 2011

VODACOM YATOA MSAADA WA MADAWATI 100 KWA SHULE YA MSINGI DARAJANI ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (wa pili kushoto) akipeana mkono na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Zanzibar, Mwanaidi Abdallah, wakati wa makabidhiano ya madawati 100 yenye thamani ya sh. milioni 10 kutoka Vodacom Foundation kwa ajili ya shule ya msingi ya Darajani mjini Unguja leo.Kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya shule hiyo, Kassim Mvita.Picha na Martin Kabemba. Wanafunzi wa shule ya msingi ya Darajani mjini Zanzibar, Zainabu Noor (kulia) na Suhaila Suleiman, wakisoma utenzi wakati wa hafla fupi ya kukabidhi madawati hayo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...