
Wakazi wa Mwananyamala wakivuka Mto Ng'ombe kwa tabu ulioacha njia yake na kutengeneza njia nyingine baada ya mvua kunyesha maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam.

Wakivuka kwa taabu

Wanafunzi na watu wazima wakivuka kwa hofu

Ni hatari ......

Hatariii hii kwa Watoto

Tazama watoto wako peke yao ni hatari hii
No comments:
Post a Comment