Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, June 23, 2012

AIRTEL YATOA VIFAA VYAMICHEZO KWA SHULE ZA MSINGI GONGOLAMBOTO


 Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akikabidhi jezi za mpira kwa Mwalimu wa Taaluma na michezo wa shule ya msingi ya Gongolamboto Jaika Mwl Almasi Shemdoe wakati Airtel ilipotembelea shule za msingi za Gongolamboto za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika na kugawa vifaa vya michezo
 Walimu wa shule za msingi za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika wakiwa na jezi zao mara baada ya kukabithi vifaa vya michezo na Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel, makabithiano hayo yalifanyika katika shule ya msingi Maarifa Gongolamboto jijini  Dar es Saalam. Pichani (Katikati)  ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde
 Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akikabidhi jezi za mpira kwa  Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Maarifa Mwl Marietha Mulyalya wakati Airtel ilipotembelea shule za  Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika
Gongolamboto na kukabidhi vifaa vya michezo hapo Jana
 Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akikabidhi jezi za mpira kwa  Mwalimu wa Taaluma na michezo wa shule msingi ya Mwangaza  Mwl Abdul Mwarami wakati Airtel ilipotembelea shule za  Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika Gongolamboto na kukabidhi vifaa vya michezo hapo Jan

1 comment:

  1. This article is interesting and useful. Thank you for sharing. And let me share an article about health that God willing will be very useful. Thank you :)

    Obat Sakit Mata Belekan Alami
    Obat Sariawan Alami
    Obat Penghancur Batu ginjal

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...