Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 25, 2012

TAMASHA LA WANAUME FAMILY SPESHO LAVUTIA WENGI NDANI YA DAR LIVE

TAMASHA LA WANAUME FAMILY SPESHO LILILOFANYIKA NDANI YA UKUMBI WA DAR LIVE

Msanii Chegge Chibunda kutoka kundi la Wanaume Family akifanya makamuzi ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Mhe. Temba wa Wanaume Family akishusha burudani kwa mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Hamis Mwinjuma a.k.a MwanaFA akiliteka jukwaa la Dar Live.
Bi. Cheka wa Wanaume Family akifanya makamuzi. Pembeni ni Temba.
Dogo Aslay wa Wanaume Family akiwarusha mashabiki wa Dar Live.
Ferouz akiimba pamoja na umati wa mashabiki uliofurika Dar Live.
Malkia wa mipasho, Khadija Kopa akiwarusha mashabiki wa taarab.
Sehemu ya umati wa watu walioitikia shoo hiyo.
Wasanii wa kundi la Wanaume Family, MwanaFA, Ferouz na Khadija Kopa jana walifunika vilivyo katika ukumbi wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam kwenye tamasha la Wanaume Family Spesho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...