Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 26, 2012

MASHINDANO YA NGOMA ZA UTAMADUNI MAARUFU KANDA YA ZIWA KWA JINA LA BALIMI KUANZA JUNI 30.Meneja wa Masoko  wa Tbl Fimbo Buttal akizungumza na waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa mashindano ya ngoma za asili ya balimi yanayotarajiwa kuanza kwenye mikoa ya kanda ya ziwa june 30 kushoto ni Meneja wa Bia ya Balimi Edith Bebwa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...