Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 26, 2012

Mshindi wa Tigo Beatz akabidhiwa Milioni 10 zake

DSC07396.jpg

BI. ZUMRA MOHAMED
Mkazi wa mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, Zumra Mohamed (wapili kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10, baada ya kuibuka mshindi  wa promosheni inayoendelea ya Tigo Beatz. Zumra anapokea hundi hiyo kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Tigo,   Alice Maro . wanao shuhudia ni Mwakilishi wa Huduma kwa Wateja Tigo Kilimanjaro Abubakari Massoli (katikati) na kulia ni Afisa Utawala mkoa wa Kailimanjaro, Hassan Rajabu.Makabidhiano hayo yalifanyika Juni 25, 2012.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...