Coca-Cola Tanzania leo imetangaza kuanzisha tuzo kwa waandishi bora wa
michuano ya soka ya vijana ya Copa Coca-Cola kwa kwa lengo la kuwazawadia
wanahabari wanaofanya kazi nzuri hivyo kuwa chachu ya mashindanoya Copa-Cola
yenye lengo la kujenga msingi wa maendelea ya soka nchini Tazanania.
Akiongea na wandishi wa
habari jijini Dar es Salaam Meneja Masoko wa Coca Tanzania Salome Mabirizi
amesema”Coca-cola inmatambua mchango mkubwa uliofnaywa na waadishi wa habari
kwa miaka mitano iliyopita katika kuwahamasiha kushiriki mashindano haya. Kuanzishwa kwa tuzo hizi ni njia moja wapo ya
kuwahukuru waandishi wa habari kwa kazi nzuri ya kutangaza Coca-Cola.
Mabirizi alizitaja tuzo
hizo kuwa ni mwandishi bora wa magazeti, mwandishi bora wa luninga, mwanahabari
bora wa radio, mpig apicha bora (magazeti) na blogs, bora ambapo kila mshidi
atazawadiwa Tsh 2m fedha taslimu.
Mchakato wa kuwapata
washindi utafanwa kw akushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari za Michezo
Tanzania (TASWA) na Coca-Cola na tayari zoezi hilo limeshaanza tangu Jumapili
juni 24 wakati fainali za Copa Coca-Cola Taifa zilipozinduliwa rasmi jijini Dar
es Salaam Fainali hizo zimepangwa kumalizika Julai 15.
Katika Mkuu Msaidizi wa
TASWA, George John aliwaambia waanishi wa habari kuwa kamati ya tuzo za Copa
Coca-Cola itafanya kazi kwa kuzingatia vigezo ili kumpata mshindi anayestahili
katika kila kundi. Amevitaja baadhi ya
vigezo hivyo kuwa ni pamoja na stori au makala zinazohamasisha na kuwatia moyo
vijan kuonyesha na kuendeleza vipaji vyao.
Johan ameipongeza kampuni
ya Coca-Cola kwa kushirikiana na Shirika la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
kuenesha mashindano ya nchi nzima kwa lengo la kuibua vipaji vya wnasoka
chipukizi nchini Tanzania.
Copa Caca_Cola imesaidia
kubadili sura ya mpira wa miguu nchini Tanzania kwa kuwa chanzo cha kutegemewa
cha wachezaji wenye viapaji wka timu za ligi kuu na timu za Taifa. NI mashindano prkee nchini ambayo huchezwa nchi
nzima kuanzia ngazi ya chini hadi Taifa yakishirikisha maelefu ya vijana kila
mwaka.
Ili kuwaeneeleza vijana
zaidi. Coca-Cola imekuwa ikipeleka
wachezaji bora wa Copa Coca-Cola kwenye kambi za kimataifa za mafunzo ya soka
nchi za nje. Mwaka 2007 na 2008
wachezaji bora wa Copa Coca-Cola walikwenda nchini Brazil na kuanzia 2008 hadi
mwaka jana walipelekwa Afrika Kusini.
Coca-Cola ni kampuni yenye
historia ndefu ya kusaidia michezo ilianza kudhamini michezo ya olimpiki tangu
1928 na mpira wa miguuu tangu 1930.
Kampuni ya Coca-Cola imekuwa ikidhamini Shirikisho la pira wa miguu
duniani (FIFA) tangu 1974 na kuwa mdhamini rasmi wa FIFA tangu 1978 hadi sasa.
In 2019, Adidas and Under Armour took most of the places in top 10. The Best Basketball Shoes doesn’t only depend on the shoe but also on the player. Be tricky enough in choosing your best fit.
ReplyDeleteSteamer for Clothes that can get rid of all wrinkles on a matter of seconds, but use whatever you want to keep them hang.
ReplyDeleteBest Clothes Steamer for all of your steaming needs as it easily distributes steam across the fabric to remove worst wrinkles.
ReplyDeleteSome girls order their prom dress and accessories fully online. Others use the Internet for research, narrowing down styles and price.
ReplyDeletethis contact form replica bags china More hints aaa replica bags official site replica gucci handbags
ReplyDeletefrom this source Dolabuy Louis Vuitton this post replica designer backpacks Visit Website this link
ReplyDeleteu6r63y7i81 t2j14x4t94 r6g06w9h38 t7o85r2h55 x0p53d1t59 q9p32l1x95
ReplyDelete