Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 25, 2012

YANGA WAANZA KUJIFUA KUJIANDAA NA KUTETEA UBINGWA WAO WA KOMBE LA KAGAME


Mshambuliaji mpya wa Yanga, Simon Msuva (mbele) akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam jana. Wanaomfuatia ni beki mpya wa klabu hiyo,  Kelvin Yondani na Godfrey Taita. Picha zote na Mpiga Picha wa Habari Mseto Blog
 Nurdin Bakari akijifua.
Nizar Khalfan, (kushoto) akijumuika na baadhi ya wachezaji wenzake wa Yanga wakiwa katika mazoezi.
Kiota kipya Yanga.
Wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi mepesi ya pamoja kujiandsaa na mashindano ya Kombe la Kagame yanayotarajiwa kuanza Julai 14 jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...