Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, June 23, 2012

PPRA YASIMAMISHA MAKAMPUNI 34


Mkurugenzi Mtendaji wa (PPRA) Dr. Ramadhan Mlinga akiongea na waandishi wa habari leo ofisini kwake jijini Dar es salaam juu ya kufungiwa kwa makampuni 34 kutoshiriki kwenye zabuni za Taasisi kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia leo, baada ya kushindwa kutekeleza mikataba yao na Tasisi husika na hivyo kusimamishwa kutekeleza mikataba hiyo.
Mwandishi wa habari wa Times Fm Bw. Adam Hussein(kulia) akimuuliza swali Mkurugenzi Mtendaji wa (PPRA)Dr. Ramadhan Mlinga katika mkutano huo.

(PICHA NA PHILEMON WA FULLSHANGWE SOLOMON)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...