Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 27, 2012

MAANDALIZI YA MABANDA KABLA YA KUANZA KWA MAONYESHO YA BIASHARA YA SABASABA BARABARA YA KILWA KESHO


Mafundi wakiendelea na usafi katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika viwanja vya maonyesho ya biashara vya Saba Saba jijini Dar es salaam leo ambapo maonyesho hayo yanatarajiwa kuanza rasmi kesho juni 28/ 2012.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Msimamizi wa banda la Home Shopping Centre BW.Faiz Mahamood Said akiongea na waandishi wa habari leo katika banda hilo viwanja vya SABA SABA pia Bw.Faiz Mahamood Said alisema amewataka washiriki wa maonyesho hayo kujitokeza wa kwa wingi pia watembelee banda la Home shopping centre wajionee bidha mpya mbalimbali.
Mafundi wakiweka bango katika banda la kampuni ya simu TTCL katika viwanja vya saba saba leo
Mafundi wakiweka mabango katika viwanja vya maonyesho ya biashara vya Saba Saba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo ZAIDI TEMBELEA http://www.fullshangweblog.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...