Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 28, 2012

ZIKAMBWE RETURNS KUINGIA SOKONI WIKI IJAYO

Na Mwandishi Wetu

Kampuni ya SPLASH ya jijini Dar es salaam ipo mbioni kutoa filamu yao mpya itakayokwenda kwa jina la Zikambwe Returns itakayotoka katikati ya wiki ijayo katika filamu hiyo yenye mafunzo kem kemu
inayoelaza baada ya mda mrefu wanakijiji kukitenga kijiji chao kwa mda mrefu wanarudi na kuapishwa Mfalme mpya mwingine ambaye ni mjukuu wa mfalme aliyepita katika kijiji hicho KASSA Ali haikuwa shwali kama wanakijiji walivyotegemea
ungana na wasanii waliashiriki kikamilifu katika filamu hiyo kama Elizabeth Mkangala,Muntasir Nassor, Saudi Juma Suyana Florian na wengine wengi katuka Zikambwe Returns itakayosambawa na kampuni ya SPLASH

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...